Tahadhari: kwa wamiliki wote wa nyumba na wapangaji ambao wanataka kuokoa pesa kwenye bili yao ya umeme..
Kwa Unit Moja Ya Umeme Utaweza Kupika Chakula Cha Ahsubuhi, Mchana na Jioni Mwezi Mzima Ukiwa Na Jiko Bomba
Je umechoka kulipa bili kubwa za umeme kila mwezi/ kununua jiko jipya kila mwaka?
Je ungependa kuokoa pesa huku ukipika vyakula unavyovipenda zaidi?
Kampuni yetu katika biashara ya kuunda vifaa vinavotokana na nishati kwa zaidi ya miaka 5, na tuna record iliyothibitisha ya wateja walioridhika
Faida za jiko bomba, sio tu kwamba utaokoa pesa kwenye bill yako ya umeme. Lakini pia utakuwa umeokoa ghalama ya kununua jiko jipya kila mwaka...
Majiko yetu yametengenezwa kwa chuma, ni imara sana. Pia jiko letu ni rahisi kutumia
Usikubali tu neno letu, wateja wetu walioridhika hufurahia ufanisi wa jiko letu
" Sikuamini ni kiasi gani cha pesa nilichookoa kwenye bili yangu ya umeme, baada ya kubadili jiko la mkaa" Anasema mteja mmoja mwenye furaha
Kuelekea msimu wa Sikukuu, tunatoa offa isiyozuilika. Nunua jiko moja kwa bei ya majiko mawili naupate jiko moja bure...
Lakini sio hivyo tu, pia tunajumuisha kitabu cha mapishi bila malipo kilicho jaa milo ya ladhaa ambayo inaweza kupikwa kwenye jiko bomba
Na kwa dhamana yetu kubwa kuwa na uhakika kwamba unafanya ununuzi usio na hatari iwapo hauja ridhika kabisa na jiko lako bomab. Lirudishe ndani ya siku 30. Ili urejeshewe pesa yako
Usisubiri Chukua fursa ya ofa hii ya ajabu leo
Lakini toleo hili, halitadumu milele
Onyo: kwasababu ya maitaji makubwa tuna majiko machache zinazopatikana agiza sasa ili kuhakikisha haukosi ofa hii ya ajabu
Ps. Kumbuka ukiwa na jiko bomba, unaweza kuokoa pesa huku ukifurahia milo yako yote uipendayo
Agiza Sasa Na uanze kupika kwa bashasha zaidi